Ahmed Musa

Ahmed Musa (alizaliwa 14 Oktoba 1992) ni mchezaji wa soka wa Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji na winga wa kushoto katika timu ya Al Nassr nchini Saudia na timu ya taifa ya Nigeria.

Ahmed Musa.

Musa akawa mchezaji wa kwanza wa Nigeria kuwa na namba zaidi ya mara mbili kwenye mechi za Kombe la Dunia la FIFA, baada ya kufunga magoli mawili dhidi ya Argentina katika Kombe la Dunia la 2014.

Musa pia ni mchezaji anaye ongoza kwa magoli nchini Nigeria. Musa alishinda magoli mawili dhidi ya Iceland katika hatua ya makundi katika Kombe la Dunia la FIFA 2018.

Tarehe 8 Julai 2016, Musa alihamia Leicester City kwa ada ya £ milioni 16.6. Alifunga magoli yake ya kwanza na klabu yake katika mechi ya kirafiki dhidi ya Barcelona; mechi ilikwisha kwa kufungwa 4-2.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmed Musa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.