Ajman (kwa Kiarabu: عجمان‎, 'Aǧmān) ni emirati mojawapo ya Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni, upande wa Ghuba ya Uajemi. Ni pia jina la mji mkuu ambao una 90% ya wakazi wote na emirati.

Mji wa Ajmān
Falme za Kiarabu.

Mtawala wake ni Sheikh Humaid bin Rashid Al Nuaimi (tangu 1981).

Utemi una wakazi 240,000 (2014) katika eneo la km² 260 tu.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Magazeti ya Falme za Kiarabu hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ajmān kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.