Rasi ya Uarabuni
.
Rasi ya Uarabuni ni rasi kubwa ya Asia pia ya dunia katika Asia ya Magharibi. Inaitwa pia Bara Arabu.
Kwa macho ya gandunia rasi hii ni karibu sawa na bamba la Uarabuni.
Imepakana na Bahari ya Shamu upande wa Kusini, Ghuba ya Uajemi upande wa Kaskazini-mashariki na Bahari Hindi upande wa Mashariki.
Katika karne ya 20 nchi za Uarabuni zilipata nafasi ya kutajirika kwa sababu ya mafuta mengi ya petroli inysolala chini ya ardhi yao.
Nchi za rasiEdit
Tazama piaEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rasi ya Uarabuni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |