Akuta na wenzake Kandidi, Konstansi, Eugenia, Firmus, Hilarini, Lusida, Marsiali, Penika, Posesa, Rogasiani na Statuniani ni kati ya Wakristo bora wa Afrika Kaskazini.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yao, ila tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Januari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.