Alazeya (kwa Kirusi: Алазея) ni mto ulioko Urusi; una urefu wa kilometa 1,590 na kupita katika tundra.

Mahali pa Mto Alazeya, Siberia - Urusi

Beseni la Alazeya ni la km² 64,700 liko katika Yakutia, eneo kubwa la Siberia kwenye mashariki ya Urusi upande wa Asia.

Alazeya inaanza pale ambako mito ya Nelkan na Kadylchan inaungana ikiishia kwenye Bahari ya Mashariki ya Siberia.

Kuanzia Oktoba hadi Mei au Juni maji yake huganda kuwa barafu.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Alazeya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.