Alka
Alka | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Alka (kutoka Kiiceland: alka) ni ndege wa bahari wa familia Alcidae. Wanafanana na ngwini kwa sababu wana umbo na rangi sawa na hawa, pia mabawa mafupi lakini spishi ziliopo hadi sasa zinaweza kuruka angani kinyume na ngwini. Spishi nyingine zilozokwisha sasa zilikuwa zimepoteza uwezo kuruka angani (k.m. Great Auk). Wanatokea bahari za nusudunia ya kaskazini. Huzamia kabisa ili kukamata samaki, gegereka na krili. Huzaa katika makoloni kwa pwani zenye miamba. Jike hulitaga yai moja tu juu ya shubaka la mwamba au katika tundu.
Spishi za Afrika (na Ulaya)
hariri- Alca torda, Alka Domo-wembe (Razorbill)
- Fratercula arctica, Alka Domo-rangirangi (Atlantic Puffin)
- Uria aalga, Alka Domo-jembamba (Common Guillemot au Common Murre)
Spishi za mabara mengine
hariri- Aethia cristatella (Crested Auklet)
- Aethia psittacula (Parakeet Auklet)
- Aethia pusilla (Least Auklet)
- Aethia pygmaea (Whiskered Auklet)
- Alle alle (Little Auk or Dovekie)
- Brachyramphus brevirostris (Kittlitz's Murrelet)
- Brachyramphus marmoratus (Marbled Murrelet)
- Brachyramphus perdix (Long-billed Murrelet)
- Cepphus carbo (Spectacled Guillemot)
- Cepphus columba (Pigeon Guillemot)
- Cepphus (columba) snowi (Kurile Guillemot)
- Cepphus grylle (Black Guillemot or Tystie)
- Cerorhinca monocerata (Rhinoceros Auklet)
- Fratercula arctica (Atlantic Puffin)
- Fratercula cirrhata (Tufted Puffin)
- Fratercula corniculata (Horned Puffin)
- Pinguinus impennis (Great Auk) – imekwisha sasa (kadiri ya1844)
- Ptychoramphus aleuticus (Cassin's Auklet)
- Synthliboramphus antiquus (Ancient Murrelet)
- Synthliboramphus craveri (Craveri's Murrelet) pengine aainishwa katika jenasi Endomychura
- Synthliboramphus hypoleucus (Xantus's Murrelet) pengine aainishwa katika jenasi Endomychura
- Synthliboramphus scrippsi (Scripps's Murrelet) pengine aainishwa katika jenasi Endomychura
- Synthliboramphus wumizusume (Japanese Murrelet)
- Uria lomvia (Brunnich's Guillemot or Thick-billed Murre)
Spishi za kabla ya historia
hariri- Alcodes (Mwisho wa Miocene ya Orange County, MMA)
- Hydrotherikornis (Mwisho wa Eocene ya Oregon, MMA) – labda haimo katika Alcidae
- Mancalla (Mwisho wa Miocene – mwanza wa Pleistocene ya Amerika ya Kaskazini-magharibi)
- Miocepphus (Kati ya Miocene ya MMA ya mashariki)
- Petralca (Mwanza? – mwisho wa Oligocene ya Austria)
- Praemancalla (Mwisho wa Miocene – mwanza wa Pliocene ya Orange County, USA)
- Pseudocepphus (Kati – mwisho wa Miocene)
Picha
hariri-
Alka domo-rangirangi
-
Alka domo-jembamba
-
Crested auklet
-
Parakeet auklets
-
Least auklet
-
Whiskered auklet
-
Little auk
-
Kittlitz's murrelet
-
Marbled murrelet
-
Long-billed murrelet
-
Spectacled guillemot
-
Pigeon guillemot
-
Black guillemot
-
Tufted puffin
-
Horned puffin
-
Great auk
-
Cassin's auklet
-
Ancient murrelet
-
Xantus's murrelet
-
Brunnich's guillemot