Aleksanda wa Fiesole
Aleksanda wa Fiesole (Fiesole, Toscana, Italia, karne ya 8 - Bologna, Italia, 823) alikuwa askofu wa mji huo aliyeuawa kwa kutetea haki za Kanisa[1].
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |