Aleksanda wa Pidna

Aleksanda wa Pidna (Ugiriki, karne ya 3 - Pidna, leo nchini Ugiriki, 310 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa kwa kukatwa kichwa kwa sababu ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Maximian[1] .

Ndiyo maana tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 14 Machi[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/45310
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.