Alexandra Salvador

Alexandra Lucía Jean Salvador Duthie (alizaliwa Agosti 11, 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa mwenye asili ya Kanada na Ekuador. Anacheza kama beki katika timu ya chuo cha Marekani Alcorn State Lady Braves katika timu ya taifa ya wanawake ya Ecuador. Yeye ni nahodha wa Lady Braves.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Ali Salvador will play for Ecuador at World Cup". 15 Mei 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexandra Salvador kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.