Alfredo Talavera

Alfredo Talavera Díaz (alizaliwa 18 Septemba 1982) ni mchezaji wa soka wa Mexiko, ambaye anacheza klabu ya Toluca na timu ya taifa ya Mexiko kama kipa.

Alfredo Talavera (2017)

kazi ya kimataifaEdit

Tarehe 27 Januari 2011, Talavera aliitwa katika timu yake ya taifa ya Mexiko kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Bosnia na Herzegovina.

Alichezea timu yake ya taifa kwa mara ya kwanza 26 Machi, 2011 katika mechi ya kirafiki dhidi ya Paraguay.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfredo Talavera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.