Alucho (kwa Kiitalia: Allucio; Uzzano, Toscana, 1070 - Uzzano, 23 Oktoba 1134) alikuwa Mkristo mlei aliyepigania amani kwa kutetea fukara na wageni na kukomboa waliofungwa [1].

Masalia yake katika kanisa kuu la Pescia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Oktoba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Ermenegildo Nucci, S. Allucio da Pescia, Benedetti & Niccolai - Pescia, 1927.
  • Egisto Cortesi-Aristide Pellegrini, Una vita per la carità: S. Allucio da Pescia, 1985.
  • A cura di Amleto Spicciani, Allucio da Pescia (1070 ca - 1134), Jouvence, 1985.
  • Amleto Spicciani, Santi lucchesi nel Medioevo: Allucio da Pescia, Edizioni ETS, 2008
  • Vauchez, André (1993). Bornstein, Daniel E. (mhr.). The Laity in the Middle Ages: Religious Beliefs and Devotional Practices. Ilitafsiriwa na Margery J. Schneider. Notre Dame: University of Notre Dame Press. ku. 54, 58, 68.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.