Amarachi Okoronkwo

Mchezaji soka wa Kike wa Nigeria


Amarachi Grace Okoronkwo (alizaliwa 12 Desemba 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza katika klabu ya Nasarawa Amazons kwenye Ligi Kuu ya Wanawake ya Nigeria na timu ya taifa ya Nigeria. Kabla ya hapo, alikuwa akichezea klabu ya Kokkola F10 katika Liga ya Finland.[1]

Amarachi Grace Okoronkwo
Amezaliwa 12 Desemba 1992
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu

Marejeo hariri

  1. "FIFA Women's World Cup France 2019: List of Players – Nigeria". FIFA.com. FIFA. 27 May 2019. uk. 17. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 June 2019. Iliwekwa mnamo 27 May 2019.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amarachi Okoronkwo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.