Amed Elna (alizaliwa 21 Disemba 1999) ni mwanariadha wa Olimpiki kutoka Komoro.

Maisha binafsi hariri

Elna amesomea sheria katika Chuo kikuu cha Sorbonne, Paris.

Maisha ya Kazi hariri

Ameshindana riadha katika Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto ya 2020 – Mashindano ya wanawake kwenye mita 100 na kumaliza nafasi ya nane katika duru ya kwanza, akikimbia kwa muda wa dakika 14.30 ambayo ilikuwa rekodi nzuri sana kwake.


  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amed Elna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.