Amin Sarr
Mchezaji wa mpira wa miguu wa Uswidi
Amin Sarr (alizaliwa 11 Machi 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uswidi, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Uswidi kwa walio na umri chini ya miaka 21.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amin Sarr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |