Anaka ni mji katika Mkoa wa Kaskazini huko Uganda. Ni eneo la makao makuu ya wilaya ya Nwoya.

Mahali pa Anaka katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 02°36′03″N 31°56′52″E / 2.60083°N 31.94778°E / 2.60083; 31.94778

Mahali hariri

Anaka ipo kwenye barabara ya AcholiburGulu – Olwiyo, barabara kuu kati ya Gulu na Pakwach . Ni takribani kilomita 53 (maili 33 ) kusini magharibi mwa Gulu, jiji kubwa zaidi katika mkoa mdogo.[1] Majiranukta ya mji huu ni 02°36'03.0"N, 31°56'52.0"E (Latitude:2.600839; Longitude:31.947775).

Marejeo hariri

  1. Globefeed.com (25 June 2016). "Distance between Gulu, Northern Region, Uganda and Anaka, Northern Region, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 25 Juni 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)