Anatalo wa Milano (alifariki 259 hivi) alikuwa Askofu wa kwanza wa mji huo, Italia Kaskazini katikati ya karne ya 3[1].

Mt. Anatalo katika dirisha la kioo cha rangi.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Septemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Le vie di Milano, V. Buzzi, C. Buzzi - Ed. Hoepli, 2005

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.