Kioo cha rangi
Kioo cha rangi (kwa Kiingereza "Stained glass") ni aina ya sanaa inayotumia rangi mbalimbali za kioo kuonyesha sura maalumu au kupendeza tu kwa uzuri.
Kwa kawaida kinatumika katika madirisha, hasa ya makanisa, lakini asili yake ni Dola la Roma katika karne ya 1.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |