Ancohuma ni mlima wa Andes katika nchi ya Bolivia (Amerika Kusini).

Mlima Ancohuma

Urefu wake ni mita 6,427 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri