Ander Herrera

Mchezaji wa soka wa Hispania

Ander Herrera Agüera (alizaliwa 14 Agosti 1989) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Uingereza Manchester United na timu ya taifa ya Hispania.

Ander Herrera
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaHispania Hariri
Nchi anayoitumikiaHispania Hariri
Jina katika lugha mamaAnder Herrera Hariri
Jina la kuzaliwaAnder Herrera Agüera Hariri
Jina halisiAnder Hariri
Jina la familiaHerrera Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa14 Agosti 1989 Hariri
Mahali alipozaliwaBilbao Hariri
BabaPedro Miguel Herrera Sancristóbal Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKihispania Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuinside forward, central midfielder Hariri
Muda wa kazi2008 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Footednessright-footedness Hariri
Namba ya Mchezaji21 Hariri
Ameshiriki2012 Summer Olympics Hariri
LigiLigue 1 Hariri
Ander Herrera

Alianza kazi yake huko Real Zaragoza na baadae alihamia Athletic Bilbao mwaka 2011 na kisha Manchester United kwa 36 milioni mwaka 2014. Aliitwa mchezaji wa klabu mwaka huo msimu wa 2016-17 baada ya jitihada za Manchester United kumtaka Herrera kushindikana na alihamia mwaka mmoja baadae.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ander Herrera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.