Anderson Talisca (anayejulikana pia kama Talisca tu; alizaliwa tarehe 1 Februari mwaka 1994) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza klabu ya China Guangzhou Evergrande, kwa mkopo kutoka klabu ya Ureno Benfica.

Anderson Talisca
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaBrazil Hariri
Nchi anayoitumikiaBrazil Hariri
Jina halisiAnderson Hariri
NicknameTalisca Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa1 Februari 1994 Hariri
Mahali alipozaliwaFeira de Santana Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKireno Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuKiungo Hariri
Muda wa kazi2013 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoEsporte Clube Bahia, S.L. Benfica, Brazil national under-20 football team, Brazil Olympic football team Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji30 Hariri

Anaweza kucheza kama kiungo mshambuliaji au mbele.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anderson Talisca kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.