Andrej Kramarić
Andrej Kramarić (alizaliwa 19 Juni 1991), ni mchezaji wa soka wa klabu ya Kroatia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Ujerumani (1899) Hoffenheim na timu ya taifa ya Kroatia.
Andrej Kramarić
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Kroatia |
Nchi anayoitumikia | Kroatia |
Jina katika lugha mama | Andrej Kramarić |
Jina halisi | Andrej |
Jina la familia | Kramarić |
Tarehe ya kuzaliwa | 19 Juni 1991 |
Mahali alipozaliwa | Zagreb |
Lugha ya asili | Kikroatia |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kikroatia |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Muda wa kazi | 2009 |
Mwanachama wa timu ya michezo | TSG 1899 Hoffenheim |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 27 |
Ameshiriki | Kombe la Dunia la FIFA 2018, UEFA Euro 2016 |
Ligi | Bundesliga, Ligi Kuu Uingereza |
Kramarić alianza kazi yake ya soka katika klabu yake ya jiji la Dinamo Zagreb. Alicheza na kuonekana rasmi katika klabu hiyo ya Dinamo akiwa na umri wa miaka 17.
Mwaka 2013, baada ya kuwa na mgogoro na bodi ya wakurugenzi wa Dinamo, Kramarić alihamishiwa na kwenda katika klabu ya HNK Rijeka, ambako alifunga magoli 37 katika michezo 42 ya ligi kabla ya kuhamia Leicester City kwa rekodi £ 9 milioni. Alicheza mwaka na nusu pale, akitumia wakati wa mkopo katika klabu ya 1899 Hoffenheim kabla ya kuhamia huko kwa kudumu.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andrej Kramarić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |