Andriëtte Norman

mwimbaji wa Afrika Kusini

{{Infobox Person |jina = Andriëtte Norman |picha = |maelezo_ya_picha = |tarehe_ya_kuzaliwa = 17 Oktoba 1987 (1987-10-17) (umri 37)


Andriëtte Norman, mara nyingi hujulikana kwa jina la Andriëtte, ni mwimbaji wa Kiafrikana kutoka kitongoji cha Cape Town Brackenfell. [1]

Mnamo 2007 Andriëtte alikuwa mshindi wa pili katika msimu wa nne wa mashindano ya Idols Afrika Kusini, [2] . Alitoa albamu yake ya kwanza iliyojuliknana kwa jina la Diamant, mwaka 2008, ikifuatiwa na nyingine kadhaa kama vile Dink Aan My (2009), Vat My Hoër (2011), Wat Rym Met Liefde (2013), na Pêrel vir 'n Kroon (2015).

Marejeo

hariri
  1. "Idols 10 – Andriette Norman". Times Live. Times Media Group. 18 Oktoba 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-07. Iliwekwa mnamo 2016-02-01.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The Youngest SA Idol: Jody Williams". Times Live. Times Media Group. 10 Desemba 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2016-02-01.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andriëtte Norman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.