Aniano wa Aleksandria

Aniano wa Aleksandria (alifariki Aleksandria, 86[1]) alikuwa askofu wa mji huo wa Misri kwa miaka 22 baada ya mwinjili Marko, akiwa wa kwanza kuongolewa naye katika nchi hiyo.[2]

Wat. Marko na Aniano kadiri ya Pietro Lombardo, 1478.

Habari zake ziliandikwa na mwanahistoria Eusebi wa Kaisarea[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Aprili[4][5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.copticchurch.net/synaxarium/3_20.html#1
  2. Atiya, Aziz S.. The Coptic Encyclopedia. New York: Macmillan Publishing Company, 1991. ISBN|0-02-897025-X.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93004
  4. Martyrologium Romanum
  5. Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO:B. Herder Book Co., 1924.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.