Anna Makinda

Anna Semamba Makinda (amezaliwa tarehe 15 Julai 1949) ni mbunge wa jimbo la Njombe Kusini katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Pia alikuwa Naibu Spika wa Bunge tangu 2006 hadi 2010. Kwa sasa ndiye Spika wa Bunge la Tanzania. Mwaka wa 1990 na 1995 alikuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Pia miaka ya nyuma alishawahi kushika nyandhifa kadha wa kadha.

Makinda

MarejeoEdit

Viungo vya nnjeEdit

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna Makinda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.