Ante Ćorić

Ante Ćorić (alizaliwa 14 Aprili 1997) ni mchezaji wa soka wa Kroatia ambaye anacheza katika klabu ya Italia A.S. Roma kama kiungo mshambuliaji.

Ante Coric.

Mnamo tarehe 28 Mei, Ćorić alijiunga na klabu AS Roma kwa ada ya milioni 8; alisaini mkataba wa miaka 5 mpaka 2020.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ante Ćorić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.