Aprili na wenzake Autus, Katula, Koliondola, Yosefu, Rogati, Salito, Saturnini na Viktorini ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa katika Afrika Kaskazini.

Wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 24 Machi[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.