Arafa Salim Said

mtetezi wa jamii.

Arafa Salim Said (alizaliwa tarehe 10 Machi mnamo mwaka 1987[1]) ni mmoja kati ya wanawake mashuhuri nchini Tanzania wenye kuisaidia jamii kwa kutoa elimu na ufafanuzi juu ya ugonjwa wa selimundu (kwa Kiingereza: sickle cell anaemia). [2]. Pia ni mwanzilishi wa Taasisi ya Sickle Cell Diseased Patients Community of Tanzania[3]

Arafa Salim Said
Amezaliwa10 Machi 1987 (1987-03-10) (umri 37)
UtaifaMtanzania
Kazi yakeMshauri wa Jamii kuhusu afya na ugonjwa wa selimundu
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arafa Salim Said kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-27. Iliwekwa mnamo 2018-09-08.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-27. Iliwekwa mnamo 2018-09-08.
  3. http://www.mwananchi.co.tz/habari/habari-ya-ndani/-Mwanamke-aliyejitosa-kutokomeza-selimundu/1724700-2497854-pa18cq/index.html