Arezki Metref

Muandishi wa habari na Mshairi

Arezki Metref (alizaliwa Mei 21, 1952) ni mwandishi wa habari na wa mashairi wa Aljeria.[1]

Arezki Metref

Arezki Metref
Amezaliwa Arezki Metref
21 Mei 1952
Sour El-Ghozlane
Jina lingine Arzki Metref
Kazi yake Mwandishi

Wasifu hariri

Arezki Metref alizaliwa katika mji wa Sour El-Ghozlane, karibu na Bouïr mnamo 21 Mei mwaka 1952 Baba Belaid Metref, alikuwa anatokea katika Kabila la Kabyle,[2] Azerki aliishi katika eneo la Bouira. Kisha akahamia Laghouat na kisha katika mnamo mwaka 1956, alikuwa muandishi wa habari mwaka 1972.

Mara baada ya mauaji ya Djaout, Matref alihamia nchini Ufaransa na mwaka 2001 alirudi nchini Aljeria.

Marejeo hariri

  1. Photographie et nombreux articles de la presse algérienne sur les livres d'Arezki Metref]. Archived Februari 20, 2008, at the Wayback Machine
  2. Déjeux, Jean (1984). Dictionnaire des auteurs maghrébins de langue française (kwa Kifaransa). KARTHALA Editions. uk. 167. ISBN 9782865370856. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arezki Metref kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.