21 Mei
tarehe
(Elekezwa kutoka Mei 21)
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 21 Mei ni siku ya 141 ya mwaka (ya 142 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 224.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1471 - Albrecht Dürer, mchoraji kutoka Ujerumani
- 1834 - Charles-Albert Gobat, mwanasiasa Mswisi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1902
- 1843 - Louis Renault, mwanasheria Mfaransa, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1907
- 1851 - Leon Bourgeois, mwanasiasa Mfaransa, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1920
- 1860 - Willem Einthoven, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1924
- 1934 - Bengt Samuelsson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982
- 1936 - Günter Blobel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1999
- 1972 - The Notorious B.I.G., mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1861 - Mtakatifu Eujeni wa Mazenod, askofu nchini Ufaransa
- 1935 - Jane Addams, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931
- 1964 - James Franck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1925
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kristofa Magallanes na wafiadini wenzake 24, Timoteo wa Mauretania, Polieuto wa Kaisarea, Wafiadini wa Pentekoste wa Aleksandria, Paterni wa Vannes, Ospisi wa Nizza, Mancho wa Evora, Theobadi wa Vienne, Heming, Eujeni wa Mazenod n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 21 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |