Arnold Janssen

Mtakatifu Arnold Janssen

Mtakatifu Arnold Janssen (Goch 5 Novemba 1837Steyl 15 Januari 1909) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka nchi ya Ujerumani aliyeanzisha mashirika ya wamisionari wa kiume na wa kike.

Mwaka 2003 alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arnold Janssen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.