Arseni na wenzake

Arseni na wenzake Dioskoro, Heroni na Isidori (walifariki Aleksandria, 250 hivi) walikuwa Wakristo wa Misri ambao waliuawa kwa kuchomwa moto kwa ajili ya imani yao.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 14 Desemba[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.