Arthur Johnson

Wachezaji mpira wa Uingereza

Arthur Johnson (aliyezaliwa tarehe 12 Aprili 1879) alikuwa mchezaji wa soka maarufu kutoka Uingereza.

Arthur Johnson
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUnited Kingdom of Great Britain and Ireland Hariri
Jina katika lugha mamaArthur Johnson Hariri
Jina halisiArthur Hariri
Jina la familiaJohnson Hariri
Tarehe ya kuzaliwa12 Aprili 1879 Hariri
Mahali alipozaliwaDublin Hariri
Tarehe ya kifo23 Mei 1929 Hariri
Mahali alipofarikiWallasey Hariri
Sababu ya kifoNimonia Hariri
Kaziassociation football player, association football manager Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
Muda wa kazi13 Mei 1902 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoReal Madrid Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Arthur Johnson akichezea timu ya Real Madrid mwaka 1902.

Katika siku zake za kucheza alikuwa mshambuliaji wa kati wa timu ya Real Madrid. Pia alicheza kama golikipa mwanzoni mwa kazi yake, mechi muhimu zaidi ilikuwa katika fainali ya Copa del Rey ya mwaka 1903.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arthur Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.