Askla (alifariki Antinoe) alikuwa Mkristo wa Thebe, Misri, ambaye aliteswa kwa namna mbalimbali ili amkane Yesu. Hatimaye kufia dini yake kwa kutupwa katika mto Nile akiwa amefungiwa jiwe kubwa shingoni wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Januari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.