Atacazo ni mlima wa Andes wenya asili ya volikano ulioko katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).

Volikano ilivyo.

Urefu wake ni mita 4,455 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri