Atanasi II wa Aleksandria

Atanasi II wa Aleksandria (alifariki 30 Septemba 496) alikuwa patriarki wa 28 wa Kanisa la Kikopti kuanzia mwaka 489 hadi kifo chake>.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Tout 20 - The Departure of Pope Athanasius the Second, the Twenty-Eighth Patriarch of the See of St. Mark". Coptic Orthodox Church Network - Lives of Saints. Retrieved 24 November 2016.

Marejeo hariri

  • Atiya, Aziz S. The Coptic Encyclopedia. New York: Macmillan Publishing Co., 1991. ISBN 0-02-897025-X

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.