Ausoni wa Angouleme

Ausoni wa Angouleme (alizaliwa Mortagne-sur-Gironde; alifariki Angouleme, Ufaransa wa leo, karne ya 4 au ya 5) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo[1].

Dirisha la kioo cha rangi likimuonyesha Mt. Ausoni.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.