Auzia lilikuwa koloni la Warumi na Waberber katika eneo la Sour El-Ghozlane, kwa sasa ni Algeria. Eneo hilo lilikuwa takribani kilomita 150 kusini-mashariki mwa Algiers katika jimbo la kale la Mauretania Caesariensis.

Mahali pa Auzia katika ramani ya Algeria kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 36°08′50″N 3°41′26″E / 36.147222°N 3.690556°E / 36.147222; 3.690556

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Auzia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.