Awad Ibraik Ibrahim Al-Baraasi ( alizaliwa 28 Juni 1966) ni profesa katika Uhandisi wa Umeme na mwanasiasa wa Libya.

Wasifu hariri

Baraasi alizaliwa katika mji wa Benghazi 28 Juni 1966. Aliteuliwa kuwa waziri wa umeme na nishati mbadala mnamo 22 Novemba 2011 na Abdurrahim El-Keib.

Aliwahi kuwa makamu wa rais wa Mamlaka ya Umeme na Maji ya Dubai kabla ya kurejea Libya wakati wa mapinduzi. Alishika Wadhifa huo kwa muda mfupi kama naibu waziri mkuu kuanzia tarehe 4 Novemba 2012 hadi tarehe 4 Agosti 2013.[1] He briefly acted as the deputy prime minister from 4 November 2012 to 4 August 2013.[2]

Marejeleo hariri

  1. "The contenders for Prime Minister: Dr Ibrahim Awad Barasi", Libya Herald, 7 September 2012. 
  2. Mohamed, Esam. "Libyan deputy PM resigns citing 'policy failure'", 4 August 2013. Retrieved on 4 August 2013. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Awad al-Baraasi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.