Aya Jeddi (alizaliwa 13 Agosti 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama mshambuliaji wa Klabu ya Al-Shoulla ya nchini Saudia pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1][2][3][2]

Marejeo hariri

  1. "Aya Jaddi Stats". FBref. Iliwekwa mnamo 8 August 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. 2.0 2.1 "Match Report of Jordan vs Tunisia - 2021-06-13 - FIFA Friendlies - Women". Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 8 August 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Match Report of Jordan vs Tunisia - 2021-06-10 - FIFA Friendlies - Women". Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 8 August 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aya Jeddi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.