Bakari Nondo Mwamnyeto

Mwanasoka wa Tanzania

Bakari Nondo Mwamnyeto (alizaliwa mkoa wa Mbeya, 5 Oktoba 1995), ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu anacheza klabu ya Yanga Sc ya Tanzania na timu ya taifa ya Tanzania.

Aliwahi kuchezea pia timu ya Coastal Union F.C. ya Tanga kwa kuwa alikulia huko.

Bakari Nondo Mwamunyeto anacheza nafasi ya beki wa kati.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bakari Nondo Mwamnyeto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.