Mjunju
(Balanites aegyptiaca)
Mjunju
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Zygophyllales (Mimea kama mbigili
Familia: Zygophyllaceae (Mimea iliyo mnasaba na mbigili)
Nusufamilia: Tribuloideae
Jenasi: Balanites
Delile
Spishi: B. aegyptiaca
(L.) Delile

Mjunju au mchunju (Balanites aegyptiaca) ni mti mwenye miiba unaotokea jangwani na maeneo mengine makavu.

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mjunju kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.