Bamboo Airways ni kampuni ya ndege ya taifa ya Vietnam yenye makao makuu jijini Hanoi.

Bamboo Airways
Faili:Bamboo Airways logo.svg
IATA
'
ICAO
'
Callsign
'
Kimeanzishwa 2017
Ilianza huduma 1 October 2018
Vituo vikuu
Ndege zake 44
Shabaha
Nembo Hơn cả một chuyến bay! - More than a flight
Kampuni mama FLC Group
Makao makuu Qui Nhon, Vietnam
Watu wakuu Đỗ Tất Thắng (CEO)
Tovuti https://www.bambooairways.com/vi/

https://www.bambooairways.com/en/

Kampuni hii ilianza kufanya kazi zake mwaka 1996 baada ya kuvunjika kwa Cong ty Hang khong Tre Viet kulikopelekea kuvunjika kwa "Hang hang khong Tre Viet".

Hivi sasa kampuni hii inatoa huduma barani Asia, Ulaya na Australia. [1][2] [3] Kampuni hii ina safari nyingi za ndege nje ya Asia kuliko kampuni yoyote barani Asia.

Ndege zitaanza kuruka mwezi Oktoba 2018. Mwanzoni, zitatumika ndege za kukodisha kutoka Airbus.

Kampuni hiyo ilisaini makubaliano na Airbus kwa Airbus A321neo 24. Mnamo 26 Juni 2018, kampuni hiyo ilisaini makubaliano na Boeing kwa Boeing 787 Dreamliner. Ndege itatolewa mwaka wa 2020.[4][5]

Marejeo hariri

  1. "Bamboo Airways Airline Profile | CAPA". centreforaviation.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-27. 
  2. "FLC Announces Airbus A321neo Order For Bamboo Air". news.airwise.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-27. 
  3. "FLC Group signs MoU for 24 A321neos for Bamboo Airways | CAPA". centreforaviation.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-27. 
  4. "Vietnamese startup Bamboo Airways commits to A321neo". atwonline.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-27. 
  5. "Vietnam's Bamboo Airways commits to 20 Boeing aircraft". Reuters. 2018-06-26. Iliwekwa mnamo 2018-06-26. 

Viungo vya nje hariri