Barak
Barak (kwa Kiebrania בָּרָק, Bārāq) mwana wa Abinoam alikuwa kiongozi wa jeshi la makabila ya kaskazini wakati wa Waamuzi wa Biblia.
Kadiri ya Waamuzi 4-5 alikomboa Israeli kutoka mikono ya Wakananayo akishirikiana na nabii Debora[1]. Ilikuwa mwaka 1125 KK hivi.
Waraka kwa Waebrania 11:32-34 unamsifu kwa imani yake iliyompa ushindi.
Tanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Barak kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |