Barbara Bergmann
Barbara Rose Bergmann (20 Julai 1927 – 5 Aprili 2015)[1][2] alikuwa mwanaharakati wa haki za wanawake. Kazi yake inashughulikia mada nyingi kuanzia malezi ya watoto na masuala ya jinsia hadi umaskini na usalama wa jamii nchni Marekani.
Bergmann alikuwa mwanzilishi na Raisi wa chama cha uchumi wa wanawake cha International Association for Feminist Economics , mdhamini wa wanauchumi wa amani na usalama, na profesa Emerita wa uchumi katika Chuo kikuu cha Maryland.
Marejeo
hariri- ↑ Cicarelli, James; Cicarelli, Julianne, whr. (2003), "Barbara Rose Bergmann (1927–)", Distinguished women economists, Westport, Connecticut: Greenwood Press, ku. 26–30, ISBN 9780313303319
- ↑ Schwartzapril, Nelson D.. "Barbara Bergmann, trailblazer for study of gender in economics, is dead at 87", The New York Times, 11 April 2015.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Barbara Bergmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |