Bartolomeo wa Simeri

Bartolomeo wa Simeri (Simeri, mkoa wa Calabria, Italia Kusini, 1050 hivi – Rossano Calabro, 19 Agosti 1130) alikuwa mkaapweke akawa abati wa monasteri ya Ukristo wa Mashariki aliyoianzisha [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Agosti[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • (Kijerumani) N. Kamp, E. Konstantinou, B. von Simeri., in: Lexikon des Mittelalters 1, 1980, S. 1497–1498.
  • G. Zaccagni, Il Bios di san Bartolomeo da Simeri., in: Rivista di studi bizantini e neoellenici., n.s. 33, 1996, pp. 193–274.
  • Enrica Follieri, I Santi dell'Italia greca., in: André Jacob, Jean-Marie Martin, Ghislaine Noyé (Hrsg.), Histoire et culture dans l'Italie byzantine. (con traduzione in lingua italiana), École française de Rome, Rom 2006, pp. 122–124.Marcello Barberio, "San Bartolomeo da Simeri: santo e riformatore", Calabria Letteraria 1-2-3/2008, Pag. 102 esg.
  • Marcello Barberio, "Da Ocriculum e Trischene", pag. 41 e sg
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.