Baruku
jina la mwanaume
Baruku (kwa Kiebrania בָּרוּךְ, Barukh, "Mbarikiwa") ni jina la watu watatu katika Biblia:
- Nabii Baruku, mwana wa Neria, karani na msaidizi wa nabii Yeremia
- Baruku, mwana wa Zabbai, msaidizi wa Nehemia katika kujenga upya kuza za Yerusalemu
- Baruch, mwana wa Kol-Hozeh, mtu wa kabila la Yuda aliyehamia Yerusalemu
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |