Belino wa Padova
Belino wa Padova (990 hivi - 1145) anakumbukwa kama askofu wa Padova (Italia Kaskazini) wakati mgumu kuanzia mwaka 1128 hivi hadi kifodini chake[1]
Mtetezi shujaa wa Kanisa, alivamiwa kikatili msituni na watu walioagizwa kumuua na hatimaye akafa kutokana na majeraha yake mengi [2].
Alitangazwa na Papa Eujeni IV kuwa mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Novemba.[3]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Saint Bellinus of Padua". Saints SQPN. 14 Agosti 2017. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/79350
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |