Benki ya Afrika Tanzania
Bank of Africa Group (kifupi: BOA), pia inajulikana kama Benki ya Afrika, ni benki ya kimataifa, mtoaji mkubwa wa huduma za kifedha katika nchi kumi na nane za Afrika Kusini kwa Sahara.
Makao Makuu | Bamako, Mali |
---|---|
Total equity | € 746 million (2016) |
Owner(s) | BMCE Bank (74.98 %) |
Tovuti | bank-of-africa.net |
Benki ya Afrika inadumisha makao makuu yake Bamako, mji mkuu wa Mali[1].
Mnamo Desemba 2016, mali yote ya kundi ilikuwa yenye thamani ya € 7.8 bilioni (dola bilioni 7.9 za Marekani) [1] Mbali na benki zake kumi na nne za biashara, kundi hiclo pia linajumuisha kampuni ya fedha, benki ya nyumba, kampuni ya kukodisha, kampuni moja ya udalali na kampuni mbili za uwekezaji, na pia kampuni ya usimamizi na ofisi ya mwakilishi katika Paris, Ufaransa. [1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Afrika Tanzania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |