Berd (Kiarmenia: Բերդ; zamani uliitwa, Berrdagyugh, Berrdgyugh, T’avuzghala, T’auzk’end, T’ovuz, T’ous, Taua Kale, T’auzkala, Taya-Kala, Tovuzkala, Bert, T’ous Gale, Volorut, Shlorut, Ghalak’yand, na T’uzukala) ni mji uliopo nchini Armenia kwenue mkoa wa Tavush. Mji huu huhesabiwa kama kitovu cha kanda ya maeneo ya Shamshadin. Upo upande wa kushoto mwa mito Tavush, takriban km 211 kutoka mjini Yerevan. Mji umezungukwa na viji mlima vidogovidogo.

Mji wa Berd

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Berd kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.