Blessing Edoho

Mchezaji wa soka wa Nigeria

Blessing Edoho (alizaliwa Nigeria, 5 Septemba 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza katika klabu ya wanawake ya Manchester City. [1]

Blessing Edoho
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaNigeria Hariri
Nchi anayoitumikiaNigeria Hariri
Jina halisiBlessing Hariri
Jina la familiaEdoho Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa5 Septemba 1992 Hariri
Mahali alipozaliwaNigeria Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuKiungo Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoPelican Stars F.C. Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri

Kazi hariri

Edoho alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa katika Kombe la Dunia la FIFA chini ya umri wa 20 mwaka 2010. Mnamo Mei 2015 Edoho aliitwa kuchezea timu ya Nigeria katika Kombe la Dunia ya Wanawake ya FIFA ya 2015. [2]


Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Blessing Edoho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.